Author: Jamhuri
Majaliwa : Hakuna nchi itakayoachwa nyuma
*Asema hayo ni maazimio ya nchi zinazounda kundi la G 77 na China Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China umeazimia kwamba nchi hizo pamoja na China zitaendelea kuweka…
Ivory Coast wakanyagana, mashabiki wavunja vioo vya magari uwanjani
Na Isri Mohamed Michuani ya AFCON inazidi kushangaza wengi kufuatia matokeo mabaya ya timu ambazo kutokana na ubora wa wachezaji wake zilitarajiwa kufanya vizuri ikiwemo Côte d’Ivoire, ambayo usiku wa kuamkia leo imepokea kichapo cha mabao manne kwa nunge kutoka…
Afisa Mhifadhi Kanda ya Kusini awashauri Watanzania kutembelea hifadhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Makete AFISA Mhifadhi mkuu wa Kanda ya Kusini Jonathan Kaihura ametoa wito kwa Watanzania kujenga tabia ya kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo katika hifadhi zetu hapa nchini na hasa Hifadhi ya Taifa za Kitulo iliyopo mkoani Njombe…
Muhimbili: Mtoto atolewa skrubu (screw) iliyokuwa kwenye mapafu yake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mtoto mwingine ametolewa Skrubu (Screw) kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa chenye kamera na kwenda kuinasa na kisha kuitoa ambayo alikua akiichezea kinywani mwake wakati akiwa shuleni na hatimaye kumpalia na kisha kukwama…
Rais Samia alitaka JWTZ lijikite kwenye kutumia mbinu za kisayansi
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) lijikite kwenye kutumia mbinu za kisayansi na teknolojia katika kazi zao ili kudumisha ulinzi na usalama. Rais Samia ameyasema hayo alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Saba wa CDF na Makamanda wa…





