JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Dk. Nchimbi arithi mikoba ya Chongolo

Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ,imemteua Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM ambaye ameshika nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM,Daniel Chongolo aliyejiuzuru nafasi hiyo Novemba mwaka jana. Kamati Kuu imemteua Emmanuel…

Watuhumiwa wa uhalifu 533 wahukumiwa jela

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi-Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya watuhumiwa 533 walihukumiwa Kwenda jela kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji na ulawiti huku matukio ya uhalifu yakitajwa kupungua kwa asilimia 12. Akitoa…

Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 15 Januari, 2024 Mjini Unguja Zanzibar.

Waziri Mhagama : Endeleeni kulinda amani, mshikamano wa Taifa letu

Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Njombe Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa rai kwa wananchi kuendelea kuzilinda tunu za umoja wa kitaifa za utulivu, amani  na ushirikiano.  Rai hiyo…

Baraza la wafanyakazi GST 2024 lakamilika

Watumishi wasisitizwa Umoja, Upendo na Ushirikiano Dkt. Budeba awaasa watumishi kuwa wawazi Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Dkt. Mussa Budeba ameongoza Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la taasisi hiyo uliyofanyika leo Januari 14,…

Pamba kulimwa Rufiji Pwani – RC Kunenge

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Abubakar Kunenge amezindua mradi wa kilimo cha Pamba wilayani Rufiji utakaotekelezwa na Kampuni ya Rufiji Cotton Ltd ambapo pia amepokea matrekta na pikipiki zitazotumika kwenye mradi huo. Akizungumza na wananchi wa…