JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Makamba: Majadiliano mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia yakamilika

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, amesema kuwa, majadiliano yanayohusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia  baina ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji Kampuni ya Shell ya Uholanzi na Equinor ya Norway na washirika wao yamekamilika na kwamba sasa…

Yanga SC yamtaka Fei Toto kuripoti kambini haraka

Klabu ya Yanga imemtaka mchezaji wake Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ kuripoti kambini haraka iwezekanavyo mara baada ya klabu hiyo kupokea marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji. Hayo yamesema kupitia taarifai liyotolewa na…

WCF yatoa msaada kwa watoto wanaofanyiwa upasuaji JKCI

Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, wafanyakazi wanawake kutoka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wametoa mahitaji mbalimbali kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya moyo kwenye Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam Machi 6, 2023. Wanawake hao…

Fei Toto awasilisha ombi TFF kuvunja mkataba

Mchezaji wa Yanga Feisal Salum Abdallah ‘Fei toto’ amewasili katika ofisi za shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’ karume, jijini Dar es salaam mapema ya leo kuwasilisha maombi ya kulitaka shirikisho hilo kuuvunja mkataba wake na waajiri wake Yanga…

Ndunguru:Uwekezaji sekta ya madini umekua kwa kasi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru amesema Uwekezaji katika Sekta ya Madini umekua kwa kasi ikiwemo kuongezeka kwa mapato ya Serikali yanayotokana na shughuli za madini nchini….