JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ngoro kilimo kilichogundulika miaka 300 iliyopita Mbinga

Na Albano Midelo,JamhuriMedia Ngoro ni aina ya kilimo kinachohifadhi mazingira kwa njia ya asili ambacho kinaaminika kilianza kutumika na wakulima wa kabila la wamatengo Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma zaidi ya miaka 300 iliyopita. Kilimo cha ngoro kilianzishwa na…

Kila wagonjwa watatu wanaolazwa mmoja ana magonjwa yasiyoambukiza

Na. WAF – Dodoma Takwimu zinaonesha kuwa kila wagonjwa watatu wanaolazwa mmoja ana magonjwa yasiyoabukiza ambapo inapelekea kuchangia asilimia 34 ya vifo Tanzania. Hayo ameyasema leo Mkurugenzi wa Tiba Prof. Paschal Ruggajo kwenye mkutano wa mafunzo kwa Mama na Baba…

Maeneo ya kazi yaliyosajiliwa na OSHA yaongezeka

Katika kipindi cha miaka miwili cha uongozi wa serikali ya awamu ya sita Wakala wa Usalama Mahala pa kazi (OSHA) umeongeza idadi ya maeneo ya Kazi yaliyosajiliwa kutoka 4,336 hadi 11,953 ikiwa ni ongezeko la asimilia 276. Hayo ameyasema leo…

TANESCO yakabidhi kisima cha maji Nyani Pwani

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limendelea na jitihada zake za uwajibikaji kwa jamii kwa kusadia uchimbaji wa Kisima Shule ya Msingi Nyani iliyoko Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani. Akizungumza Mkurungezi wa Fedha TANESCO Renata Ndege kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa…