Author: Jamhuri
TMDA yawanoa wadhibiti wa vifaa tiba barani Afrika juu ya Tathmini ya vifaa tiba vya mama na mtoto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA) inaendesha mafunzo ya siku tatu Jijini Dar es Salaam ya kufanya tathmini ya udhibiti wa vifaa tiba vya Wamama, Watoto wachanga na Watoto kwa wataalam wa vifaa tiba…
TMA yatoa utabiri wa mvua maeneo yanayopata msimu mmoja
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kufuatia kuanza kwa mvua za msimu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imeitaka idara ya menejimenti ya maafa nchini kuendelea kuratibu utekelezaji wa mipango itakayosadia kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza kipindi cha mvua…
TCAA atolea ufafanuzi kuhusu kibali cha ndege iliyokodiwa na CHADEMA
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema katika siku za hivi karibuni, hakuna chama chochote cha siasa ambacho kimeomba kibali cha kuingiza ndege nchini hayo yamesemwa leo wakati wa kutolewa kwa ufafanuzi wa habari iliyosambaa kuhusu kibali cha ndege…
Katibu Mkuu TALGWU awapongeza wanachama kusimamia mipango miji
Na Zephania Kapaya, JamhuriMedia, DodomaKatibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU), amewapongeza wanachama kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kusimamia ipasavyo suala la mipango miji, changamoto za ukuaji wa miji pamoja na kuchangia maendeleo endelevu katika Nchi…
Ummy : Hali ya lishe kwa vijana balehe bado ni changamoto
Na Mwamvua Mwinyi, Jamhurimedia, Mkuranga Tatizo la hali ya lishe kwa kundi la vijana balehe bado ni changamoto katika Mkoa wa Pwani ,licha ya mkoa huo kuwa wa kwanza kitaifa katika suala la lishe. Aidha tafiti za malaria na lishe…
Tanzania ya tatu kwa mazingira ya mazuri uwekezaji barani Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kulingana na tafiti za kimataifa Tanzania ni nchi ya tatu kwa Mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Afrika, ikitanguliwa na Nigeria…





