Author: Jamhuri
AICC yapata mafanikio makubwa baada ya Rais Samia kuifungua nchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), kimepata mafanikio makubwa baada ya Rais Samia Sulubu Hassan kuifungua nchi. Hayo yamebainishw leo Septemba 14, 2023 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa vituo vya AICC na…
Silaa ahimiza wakuu wa mikoa kutekeleza maamuzi ya Baraza la Mawaziri
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nanyumbu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amehimiza wakuu wa mikoa nchini kuhakikisha wanatekeleza maamuzi ya Baraza la Mawaziri kuhusiana na migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975 ‘’Niwaombe wakuu wa…
Tanzania yajifunza uendeshaji minada ya kimataifa ya madini kwa kampuni yenye uzoefu wa miaka 50
Wafanyabiashara Thailand Waeleza Umuhimu wa kushirikiana na Wenzao wa Tanzania Kwa mara nyingine Watanzania Wapata Fursa kujifunza Uongezaji Thamani Madini Thailand Bangkok- Thailand Ujumbe wa Tanzania Nchini Thailand ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umejifunza namna…
Dotto Biteko: Watanzania wanataka umeme wa uhakika
Na Magrethy Katengu Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko aliagiza Shirika la Umeme Tanesco kuhakikisha Watanzania wote wanafikiwa na huduma ya Umeme kuanzia Mijini hadi vijijini ili kusaidia shughuli za kiuchumi kuendelea ….
Jafo: Wananchi waache kununua majokofu, viyoyozi mtumba
Serikali imewataka wananchi kuepuka kuingiza nchini na kutumia majokofu au viyoyozi vilivyokiwshatumika (mtumba) ambavyo vinatumia gesi haribifu kwa tabaka la ozoni na badala yake watumie bidhaa zenye uwezo mdogo wa kuchangia ongezeko la joto duniani. Waziri wa Nchi Ofisi Ya…