Author: Jamhuri
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao Amemteua Tito Philemon Mganwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe; na (ii) Amemteua Bw. Mussa R. Kilakala kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaliua Mkoa…
Tanzania,Zambia kutatua changamoto za usafirishaji Tunduma
Tanzania na Zambia zimekubaliana kutatua changamoto za usafirishaji wa mizigo baina ya nchi hizo hususani foleni ya maroli katika eneo la Tunduma ili kupunguza gharama na muda kwa wasafirishaji. Akizungumza mara baada ya kikao cha cha Makatibu Wakuu, Wataalam na…
Mawakili wa Serikali watakiwa kutatua migogoro kwa njia ya majadiliano
Mawakili wa Serikali wametakiwa kutatua migogoro kwa njia ya majadiliano na usuluhishi ili kutengeneza mazingira mazuri yatakayowavutia wawekezaji kuja kuwekeza nchini. Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Mary Makondo,wakati akifunga mafunzo ya siku tatu…
Mashirika waadhimisha Siku ya Bahari Duniani Dar
NA Andrew Chale, JamhuriMedia Shirika lisilo la Kiserikali la Utamaduni na Maendeleo Afrika Mashariki [Culture and Development East Afrika] –CDEA kwa kushirikiana na mashirika mengine ya FIDEC na EMEDO wamefanya maadhimisho ya siku ya bahari duniani leo Juni 8,2023, iliyokuwa…