Author: Jamhuri
Fisi ajeruhi vibaya watu saba Mara
Takriban watu saba wanaripotiwa kujeruhiwa vibaya na fisi wilayani Tarime mkoani Mara. Tukio hilo limetokea mapema leo asubuhi Februari,21 2023 eneo la Bugos nje kidogo ya mji wa Tarime , viongozi wa eneo hilo wamesema. “Idadi ya majeruhi waliopata matibabu…
Rais Samia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umaoja wa Falme za Kiarabu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Shakhboot Bin Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Tunguu Zanzibar leo Februari…
RPC Ruvuma atoa elimu kwa madereva wa maroli
Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Mbinga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma ACP Marco Chilya amewataka madereva wa malori yatokayo ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kubeba makaa ya mawe mkoani Ruvuma kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao wakizingatia sheria na kanuni za…
Tetemeko la ardhi jipya latikisa Uturuki na Syria
KWA mara nyingine tena waokoaji wanatafuta watu waliokwama chini ya vifusi baada ya matetemeko mawili mapya ya ardhi kuikumba Uturuki na kuua takribani watu watatu. Matetemeko ya ukubwa wa 6.4 na 5.8 yalipiga kusini-mashariki karibu na mpaka na Syria, ambapo…
Serikali yadhamiria kupunguza tataizo la umeme Pwani
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, amepokea transforma kubwa sita katika mradi wa kituo cha kupoza na kupokea umeme cha Chalinze ,zenye uwezo wa megavoti 250 kwa gharama ya Bilioni 7.5 kila moja. Kuwasili kwa…
Tumbi yaanza kutoa huduma ya kusafisha damu, CT-Scan
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani HOSPITAL ya Rufaa ya mkoa ya Tumbi, Mkoani Pwani imeanza kutoa huduma ya kusafishwa damu pamoja na mashine za CT-scan pamoja na X-ray za kielektroniki. Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, ameeleza neema hiyo kwa…