Author: Jamhuri
Spika Dkt. Tulia atoa wito kwa nchi za SADC kuendeleza ushirikiano
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amezitaka nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zishirikiane kutumia rasilimali zilizopo kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Jumuiya hiyo. Dkt. Tulia ameyasema hayo wakati…
Wasira, Nyerere waeleza Mkono alivyogusa maisha yao na jamii
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media Mwanasiasa Mkongwe Tanzania ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Mazishi, Stephen Wasira ameeleza namna Nimrod Mkono alivyojitoa kwa hali na mali hata kutumia pesa zake kuwasaidia wananchi enzi za uhai wake. Wasira ameeleza…
Ushirikiano wa Tanzania na Afrika Kusini kuimarika kupitia sekta ya utamaduni, sanaa na michezo
Ujumbe wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Bw. Saidi Yakubu wamekutana na kufanya kikao cha pamoja na Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni ya Afrika Kusini na kubadilishana uzoefu ili kuboresha sekta hizo…
Madaktari bingwa 10 waliokuwa India waja na shuhuda nzito kuhusu utalii tiba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo wameendelea kuongezeka katika Taasisi ya Mifupa (MOI) na kufikia 16 hali ambayo imeendelea kuifanya Tanzania kuwa kivutio cha utalii tiba Kusini mwa Jangwa la Sahara. Madaktari hao walikuwa India kwa…
Jokate apokea vifaa tiba kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Korogwe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Korogwe Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga Jokate Mwegelo amelishukuru Shirika la Lions Club International katika juhudi zake za kuungana na Serikali katika kuboresha huduma ya afya wilayani humo . Jokate ameyasema hayo wakati akikabidhiwa…