Author: Jamhuri
Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana kufanyiwa upasuaji wa kutenganishwa Saud Arabia
Na Mwandishi Wetu. JamhuriMediaSerikali ya Saudi Arabia itasaidia na kusimamia matibabu ya kuwatenganisha watoto waliozaliwa wakiwa wameungana Hussen na Hassan wenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11 wakazi wa Mkoa wa Tabora ambao wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya…
Serikali yafanya utafiti mbadala wa zebaki kwa wachimbaji wadogo
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali imefanya utafiti kuhusu teknolojia mbadala wa zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha taarifa ya hatua zilizofikiwa juu ya uratibu…
Wagombea 58 wateuliwa kuwania ubunge, udiwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Wagombea 58 kutoka vyama 17 vya siasa vyenye usajili kamili wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwania nafasi wazi ya Ubunge kwenye Jimbo la Mbarali lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali na kata sita za…
RC Tellack: Lindi siyo maskini
Na Mwandishi wetu, Ruangwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Tellak amesema eneo hilo lina fursa nyingi za uwekezaji na utajiri mkubwa wa madini mbalimbali isipokuwa madini ya Tanzanite na Almas pekee. Tellak akizungumza mjini Ruangwa kwenye ufunguzi wa maonyesho…