Author: Jamhuri
Nchi za Afrika zatakiwa kushirikiana kukabiliana na changamoto za ongezeko la idadi ya watu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Algiers Wakuu wa nchi za kiafrika za kiafrika wametakiwa kuweka msukumo wa pamoja ili kukabiliana na changamoto zinazotokana na ongezeko kubwa la idadi ya watu Barani Afrika. Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu wa Algeria Aymen Ben…
Wakuu wa vitengo na wasimamizi wa wodi Muhimbili wapigwa msasa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Epvate & Fortune International Consultant Ltd wameendesha mafunzo kazi ya siku mbili kwa Wakuu wa Vitengo na Wasimamizi wa Wodi kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kazi…
Rais Dk Samia kufanya ziara nchini India
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kufanya ziara ya Kitaifa nchini India Oktoba 8 hadi 1, 2023 akiambatana na wafanyabiashara kuangalia fursa za kibiashara na uwekezaji kiuchumi. Akitoa taarifa hiyo…
Mpanju awataka wataalam ngazi ya kata kutekeleza maendeleo ngazi ya msingi kwa wakati
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma NAIBU Katibu Mkuu,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na makundi maalum Wakili Amon Mpanju amewataka Viongozi wataalamu ngazi ya kata kuhakikisha wanaweka mpango kazi unaopimika wa utekelezaji maendeleo ngazi ya masingi kwenye maeneo yao ili kuakisi maudhui ya…
Naibu Waziri Nishati awahimiza wananchi kutumia nishati mbadala Songea
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amewahimiza wananchi kuona umuhimu wa kutumia nishati mbadala na amewataka kuacha kutumia nishati ambazo si rafiki kwa mazingira kwa lengo la kutunza mazingira kwa ajili ya vizazi vya sasa…
TASAC yapata mafanikio makubwa kutoka bil.9.1/- hadi bil. 43.4/- kutokana na usikivu wa Serikali
Usikivu wa Serikali umeiwezesha TASAC kuongeza gawio kutoka bil.9.1 hadi bil.43.4 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limesema usikivu wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu…





