Author: Jamhuri
Vijana 24,458 wapatiwa mafunzo ya JKT
Na Immaculate Makilika ,JamhuriMedia-MAELEZO Serikali imesema kuwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeendelea kuwapatia vijana wa Kitanzania mafunzo ya ukakamavu, stadi za kazi, kuwajengea uzalendo na umoja wa kitaifa. Ambapo, mafunzo yamefanyika kwenye kambi mbalimbali za JKT kupitia Operesheni Jenerali…
Tanzania kuomba kuwa mwenyeji wa Mashindano ya AFCON mwaka 2027
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwa mwenyeji wa michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (African Cup of Nations) 2027. Rais Samia amesema nchi…
Rais Dkt. Mwinyi akutana na Waziri wa Nishati wa kwenye ziara nchini Qatar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiwa katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Qatar akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, mapema leo asubuhi alikutana…
Serikali kuongeza soko la nyama nje
Katika kukuza soko la nyama hapa nchini Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesema inadhamira ya kufanya kampeni ya kuchanja mifugo kwa kufuata kalenda ili kuongeza soko la nyama nje ya nchi kutoka tani 12 ya sasa hadi tani…