Author: Jamhuri
Serikali kugharamia mazishi ya wanafunzi waliokufa Bahi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rose Senyamule amepiga marufuku magari ya mizigo kutumika kubeba abiria katika mkoa huu ili kunguza ajali zinazosababisha vifo ambavyo vinaweza kuzuilika. Hatua hiyo ni kufuatia ajali iliyoua wanafunzi wawili jana Mei…
Tanzia:Banard Membe afariki Dunia
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Aliyewahi Kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe amefariki dunia leo asubuhi Katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni Jijini DSM. Taarifa za awali kutoka vyombo mbalimbali vya habari zinaeleza kuwa…
Rais Mwinyi apokea Ripoti ya CAG
………………………. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ikulu, Zanzibar. Akipokea ripoti hiyo Rais Dk. Mwinyi amemuomba Waziri wa Nchi Ofisi ya…
Wanafunzi wawili wafariki, 31 wajeruhiwa wakienda kwenye UMISETA Dodoma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dk. Ernest Ibenzi amethibitisha kupokea miili ya wanafunzi wawili wa shule ya Sekondari ya Mpalanga wilayani Bahi mkoani Dodoma waliokufa katika ajali ya lori aina…
Jela miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi Kibaha
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemuhukumuMangode Rajabu (23),Mkazi wa Soga,Kibaha kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi (jina linahifadhiwa). Hukumu hiyo ya kesi ya jinai namba 4/…