Author: Jamhuri
Watu 389 wakutwa na maambukizi kifua kikuu Tunduru
Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma kupitia kitengo cha kifua kikuu na ukoma wilayani humo,imefanikiwa kuwabaini wagonjwa 389 wa kifua kikuu kati ya wahisiwa 7,354 waliofanyiwa uchunguzi wa ugonjwa huo kuanzia mwezi Januari hadi Juni 2023. Mratibu wa kifua kikuu…
Taifa Stars kutwaa milioni 500 za Rais Samia
Na Mwandishi wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza ahadi ya Shilingi milioni 500 aliyotoa kwa Timu ya Taifa Stars ikifuzu kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2023 nchini Ivory Coast….
Majaliwa :Tengenezeni mifumo ya kugundua risiti feki
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wataalamu wa mifumo na TEHAMA, wabuni programu tumizi ya kuweza kutambua risiti halali na zisizo halali ili kujihakikishia kuwa mapato yote yanayokusanywa yanaingia Serikalini. Kadhalika, amewataka waweke utaratibu wa kufanya kaguzi za mashine za “PoS”…
Bima ya afya kwa wote suluhu ya kudumu ya matibabu kwa rika zote
Na WAF, Bungeni Dodoma. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Bima ya afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu kwa wananchi wote ikiwemo watoto wasio na wazazi na wasiojiweza ambao awali walikuwa wakilipiwa na wahisani kupitia “Toto Afya…





