JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mandonga atambulisha ngumi yake mpya ya ‘Kingugi’

Na Eleuteri Mangi Bondia machachari Karim Said maarufu Mandonga Mtu kazi ametembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo ametangaza ngumi mpya iitwayo ‘Kingugi’ anayotarajia kuitumia kwenye mchezo wa marudiano na Bondia Daniel Wanyonyi kutoka Kenya. Mandonga ametangaza…

MSD yawanoa watumishi kada ya madereva

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Watumishi wa MSD wa kada ya udereva, wamejengewa uwezo kupitia mafunzo mbalimbali yanayoandaliwa na taasisi hasa katika eneo la huduma kwa wateja wakati wa usambazaji bidhaa za afya. Mafunzo hayo yanayofanyika mkoani Morogoro yamekutanisha madereva wote…

Majaliwa: Mjadala wa bandari usiligawe taifa

……………………………… Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu. “Mjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika. Tusitumie…

Mbunge Keysha: Msitishwe na kuogopa maneno ya DP World ni fursa kwa wananchi

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Viti Maalum Khadija Shaaban Taya (Keisha) amewaomba watu wenye ulemavu kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo na kutoa ufafanuzi kuhusu Suala la Bandari ya Dar es salaam kwani linakwenda kugusa maisha ya watanzania. TAYA…