Author: Jamhuri
DKT. Kikwete asisitiza amani nchi za SADC
Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni kuwa huru na migogoro inayotumia silaha. Hayo yameelezwa Agosti 12, 2023 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri…
Koka: Kukamilika zahanati ya Saeni, mkombozi kwa wakazi Kata ya Misugusugu
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Changamoto kubwa ya ukosefu wa huduma za kiafya iliyokuwa ikiwakabili wakazi wa mitaa ya Saeni,Zogowale na Jonung”ha ,kata ya Misugusugu,Kibaha Mkoani Pwani,imebaki historia baada ya ujenzi wa mradi wa Zahanati ya Saeni kukamilika. Changamoto hiyo…
Dk.Biteko:Rais Samia afanya mageuzi makubwa miradi ya maendeleo Bukombe
Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Bukombe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa kiongozi mahiri katika kipindi cha muda mfupi huku akionyesha mageuzi makubwa ya Maendeleo. Katika kipindi cha muda mfupi aliokaa madarakani kazi aliyoifanya…
Waziri Mabula ahimiza matumizi ya kliniki za ardhi Ludewa
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaelekeza watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha wanakuwa na kliniki za ardhi kama ilivyoelekezwa na wizara yake ili kutatua changamoto za sekta ya ardhi. Dkt.Mabula ametoa maelekezo hayo…
Watoto wawili wa familia moja wauawa kwa kunyongwa
Watoto wawili wa familia moja wameuawa kwa kunyongwa na kisha kuning’inizwa chumbani walimokuwa wakilala na wazazi wao katika kijiji cha Mwantemi kata ya Kinamweli wilayani Itilima mkoani Simiyu. Kamanda wa Polisi mkoani Simiyu ACP Edith Swebe amethibitisha kutokea kwa tukio…





