Author: Jamhuri
Dk Tulia : Serikali kutoa viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko Itezi
Serikali itatoa viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko ya tope katika mlima kawetere, Itezi jijini Mbeya, huku zaidi ya vifaa na vyakula vyenye thamani ya Shilingi Milioni 40 vikitolewa kwa wahanga kuanzia tarehe 14 Aprili, 2024 maafa hayo yalipotokea hadi…
Makamu wa Rais atembelea ujenzi wa ofisi za CCM Micheweni
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea ujenzi wa ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini…
Rais Samia kugharamia matibabu ya watoto 100 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi
Na WAF – Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan atagharimia matibabu ya upasuaji na utengamao kwa watoto 100 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi yatakayofanyika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa…
Waziri Mkuu aagiza taarifa maalumu ya udhibiti wa uvuvi haramu
*Azindua boti ya doria kukabiliana na uhalifu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi haijawasilisha hotuba ya bajeti ya mwaka 2024/2025. Ametoa agizo hilo leo…
Dk Mpango mgeni rasmi maombi ya kuliombea Taifa jijini Dodoma
Na Dotto Kwilasa, Mkuu wa MKoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, leo Aprili 21, 2024, amefanya mkutano na waandishi wa habari kuutangazia umma juu ya dhamana iliyopewa Mkoa wa Dodoma kuandaa na kufanya maombi na dua ya kuliombea Taifa katika…
Makamu wa Rais afungua skuli ya Maziwang’ombe -Pemba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya Mparachichi katika Skuli ya Sekondari Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa ufunguzi wa skuli hiyo ikiwa ni Shamrashamra…





