JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Jamii yashauriwa kuchangia damu kwa hiari

Na Mussa Augustine., JamhuriMedia Jamii imeshauriwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwa hiari ili kusaidia watu wenye uhitaji wakiwemo akina mama wajawazito, wagonjwa wa saratani pamoja na wagonjwa mbalimbali waliolazwa hospitali. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam April 30,2023…

MSD Kanda ya Kati yateta na wadau wake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Kati Dodoma imekutana na wadau na wateja wake wakiwemo waganga wakuu, wafamasia na watendaji wa halamshauri kuhakikisha wanajadili uboreshaji wa huduma za afya na upatikanaji wa dawa na vifaa tiba…

Koka:Asilimia 80 ya rasilimali fedha kutatua changamoto za elimu Kibaha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini,Silvestry Koka amejielekeza kupeleka nguvu ya raslimali fedha katika sekta ya elimu kwenye kata zote kwa asilimia 80 . Amesema ,anatambua sekta ya elimu Kuwa ni mkombozi na urithi namba moja…

Ummy: Chukueni tahadhari ya ugonjwa wa kipindupindu wakazi Dar

Na WAF – Dar es Salaam Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu Jijini Dar es Salaam. Waziri Ummy ameyasema hayo baada ya kutoa taarifa kuhusu hali ya ugonjwa…

Watoto 37 wafariki kipindi hiki cha mvu, Polisi watoa tahadhari

Na Abel Paul Jeshi la Polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi wanaotumia vibaya mitaandao ya kijamii hasa kipindi hiki cha mvua zinazoendela kunyesha ambapo limesema kuanzia Januari hadi Aprili, mwaka huu kumejitokeza matukio ya watoto kufa maji kwa kusombwa na…

Serikali kuimarisha usalama na afya mahala pa kazi

Mtendaji Mkuu wa OSHA, Khadija Mwenda akieleza jambo wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahala Pa Kazi iliyofanyika kwenye viwanja vya Tumbaku, Mkoani Morogoro. Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Bw….