JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kongamano la kibiashara uwekezaji Malawi, Tanzania kufungua biashara zaidi

Na David John, JamhuriMedia Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Ubalozi wa Tanzania-Malawi, Kituo cha Uwekezaji (TIC), Sekta Binafsi, TCCIA na TWCC imeratibu Kongamano la Kibiashara kati ya Malawi…

Wizara yatoa mwenendo wa ugonjwa wa Marburg Kagera

You Might Also Like POLISI MAKAO MAKUU WAFANYA MAZOEZI YA KUIMARISHA AFYA KWA ASKARI

Simba yaondolewa na Wydad Casablanca kwa mikwaju 4-3

Timu ya Simba imetolewa na Wydad Casablanca kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL) kwa mikwaju ya penati 4-3 . Katika mchezo huo ambao Simba alikuwa na faida…

Mamlaka ya Serikali Mtandao kutumia Mifumo ya Tehama kuboresha utendaji kazi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao ( e-GA) imejipanga kutumia mifumo ya teknolojia kurahishisha utendaji kazi wa watumishi wa umma. Hayo yameelezwa leo Aprili 28,2023…

Makamu wa Rais atoa wito kwa Jeshi la Polisi kujitathmini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Jeshi la Polisi nchini kujitathmini mara kwa mara ili kuwa tayari kukabiliana na changamoto za nyakati hizi za mabadiliko makubwa kiteknolojia na kiuchumi. Makamu…

The Royal Tour yatimiza mwaka mmoja

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Filamu ya Tanzania The Royal Tour imetimiza mwaka mmoja tangu ilipozinduliwa Aprili 28 mwaka jana Jijini Arusha huku ikielezwa kuleta matunda kwa Taifa ikiwemo kuongezeka kwa idadi ya watalii na mapato kwa Serikali  Katibu Mkuu…