JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kanisa Mlima wa Moto waendeleza maono ya Hayati Dk.Rwakatare

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Askofu Mkuu wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni jijini Dar es Salaam, Bishop Rose Mgeta amesema Kanisa hilo litaendelea kutekeleza maono ya Mwanzilishi wa Kanisa hilo, Hayati Askofu Dk Getrude Rwakatare kutimiza maono yake kama…

Biteko:Tusigawanyike katika dini zetu

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe ameshiriki katika Futari na baadhi ya wakazi wa wilaya ya Bukombe mkoani Geita Aprili 18, 2023. Akizungumza katika hafla hiyo Dkt.Biteko amewataka wananchi wa Bukombe kuungana…

JK akutaka na wanariadha Watanzania mjini Boston, Marekani

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na wanariadha Gabriel Geay na Wence Tarimo walioshiriki katika Mashindano ya Marathon yaliyofanyika Boston, Marekani Aprili 17, mwaka huu.  Gabriel Geay aliibuka mshindi wa pili katika mashindano hayo Rais Mstaafu amempongeza Gabriel Geay…

Halmashauri kutenga fedha za magonjwa ya mlipuko

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO),limezitaka halmashauri nchini kutenga bajeti kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko badala ya kutegemea Serikali Kuu pekee. Hatua hiyo itarahisisha jamii kukabiliana na milipuko hiyo…

NMB yachangia mil. 41.2/- kuinua sekta ya elimu Ilala

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Benki ya NMB mwishoni mwa wiki ilikabidhi madawati, viti na meza zenye thamani ya shilingi milioni 41.2 kwa shule sita zilizopo wilaya ya Ilala, mkoani Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa dhamira…

Ubalozi wa Marekani watoa mbinu kwa Jeshi la Polisi

Ubalozi wa Marekani umetoa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi nchini ya namna ya kukabiliana na matukio ya kughushi nyaraka mbalimbali ikiwemo hati za kusafiria(Pass Port) ambapo mafunzo hayo yamehusisha wakufunzi kutoka chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es…