Author: Jamhuri
Waziri Mkuu ataka viongozi wa dini kusimamia haki
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia,Mwanza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amewataka viongozi wa dini nchini kuhakikisha wasimamia haki na kuienzi na kusimamia amani kwa manufaa ya wananchi wa sasa na vizazi vijavyo. “Niwasihi sana ninyi viongozi…
Rais Samia:Sherehe za Muungano zifanyike katika ngazi ya mikoa
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza maadhimisho sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yafanyike katika ngazi ya mikoa kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Jumamosi (Aprili…
IMF:Uchumi wa Tanzania wapaa miaka miwili ya Rais Samia
* Pato la Taifa lafikia Sh. trilioni 200 kwa mwaka 2023 kutoka Sh. trilioni 163 ya mwaka 2021 * Uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya na ni wa 6 kwa ukubwa kwa nchi zote…
Mume adaiwa kumuua mke kwa uchu wa mali
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia,Chato Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Dickson Jackobo,mkazi wa Kasenda Muganza,wilayani Chato mkoani Geita anadaiwa kumuua kwa panga mke wake, Kasaka January (40), kwa kile kinachoelezwa kuwa ni uchu wa mali. Mauaji hayo yametekelezwa usiku wa…
Kuweni sehemu ya historia ya maboresho ya mahakama
Na Mary Gwera,JamhuriMedia,Mwanza Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma ametoa rai kwa Majaji nchini kuwa sehemu ya maboresho ya Mahakama yanayoendelea kufanyika ili kila mmoja afahamu kwa kina kinachoendelea kwa manufaa ya Mhimili huo na umma kwa ujumla. Akizungumza…