JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

13 wafariki baada ya gari walilopanda kutumbukia mtoni Ruvuma

Na Cresensia Kapinga ,JamhuriMedia, Songea Wafanyabiashara 13 wamefariki na wengine wawili wamejuruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutumbukia mto Njoka wakati wakitoka Ndongosi mnadani kuelekea kijiji cha Namatuhi wilayani Songea mkoani Ruvuma. Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 10,…

Ufaransa:Ulaya haipaswi kuchochea mzozo kati ya China na Taiwan

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema katika maoni yaliyochapishwa Jumapili kwamba Ulaya haina nia ya kuchochea mzozo wa Taiwan na inapaswa kuendelea na mkakati huru mbali na Washington na Beijing. Macron alirejea hivi karibuni akitokea China baada ya ziara ya…

Liverpool ngoma nzito kwa Arsenal

Wakiwa ndani yà Anfield Liverpool wamekubali kugawana pointi mojamoja na Arsenal ikiwa ni ngoma nzito kwa timu zote kusepa na poiti tatu. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Liverpool 2-2 Arsenal huku kipindi cha kwanza kikiwa ni mali ya Arsenal…

Rais Samia avunja bodi ya TRC,atengeua uteuzi wa TFGA

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kufanya utenguzi katika shirika la ndege za serikali. Rais Samia amemtengua…

Makamu wa Rais katika ibada ya Pasaka

…………………………………………………………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 09 Aprili 2023 wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma…