Author: Jamhuri
Kilio cha gharama kubwa za kusafisha damu sasa kuwa historia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia ,Dodoma Serikali imedhamiria kushusha gharama za kusafisha figo ‘Dialysis’ ili kuwapunguzia mzigo wananchi na hata Serikali. Hayo yamesemwa leo Aprili 5,2023 na Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Msasi alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara…
Majaliwa:Serikali yatoa trilioni 8.64/- kuendeleza miradi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema takribani shilingi trilioni 8.64 zimetolewa na Serikali kwa ajili ya kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo itakayoimarisha uchumi wa nchi na maendeleo ya watu hadi kufikia Januari, 2023. Majaliwa ametaja miradi hiyo saba kuwa ni ya…
Rais Samia afanya uteuzi
Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Uwekezaji. Uteuzi huo umeanza tarehe…
Majaliwa atoa maagizo sita kwa TAMISEMI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo sita kwa viongozi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI na Umoja wa Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri unaohusika na maboresho ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA) yatakayosaidia kuboresha utoaji huduma kwa…
Mgonjwa wa Marburg aruhusiwa,hakuna maambukizi mapya
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema wamemruhusu mgonjwa mmoja (26) kati ya wagonjwa watatu waliolazwa katika vituo maalum vilivyotengwa kwaajili ya wagonjwa wa marburg baada ya kujiridhisha na hali yake kwa kumfanyia vipimo zaidi ya mara tatu vya ugonjwa huo….