JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Taifa Stars kutwaa milioni 500 za Rais Samia

Na Mwandishi wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza ahadi ya Shilingi milioni 500 aliyotoa kwa Timu ya Taifa Stars ikifuzu kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2023 nchini Ivory Coast….

Majaliwa :Tengenezeni mifumo ya kugundua risiti feki

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wataalamu wa mifumo na TEHAMA, wabuni programu tumizi ya kuweza kutambua risiti halali na zisizo halali ili kujihakikishia kuwa mapato yote yanayokusanywa yanaingia Serikalini. Kadhalika, amewataka waweke utaratibu wa kufanya kaguzi za mashine za “PoS”…

Bima ya afya kwa wote suluhu ya kudumu ya matibabu kwa rika zote

Na WAF, Bungeni Dodoma. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Bima ya afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu kwa wananchi wote ikiwemo watoto wasio na wazazi na wasiojiweza ambao awali walikuwa wakilipiwa na wahisani kupitia “Toto Afya…

Zaidi ya watoto milioni 3 kupata chanjo ya Polio kwenye mikoa sita nchini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Afya kwa kushirikiana Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wadau wa Sekta ya Afya inatarajia kuendesha Kampeni ya kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa polio kwa watoto zaidi ya Milioni 3,250,598 walio chini ya…