JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

ACT-Wazalendo wataka kutungwa sheria ya kilimo

Na Allan Vicent,JamhuriMedia,Tabora Chama cha ACT-Wazalendo kimeshauri Serikali kutunga sheria ya kilimo na kuweka utaratibu wa kodi kama ilivyo katika sekta ya madini ili kuleta tija na ufanisi ikiwemo kuhimiza kilimo cha umwagiliaji. Ushauri huo umetolewa na kiongozi wa chama…

Simba Queens kunyukana na Yanga Princess kesho

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Wababe wa Soka la Bongo kwa upande wa Wanawake Simba Queens na Yanga Princess kesho Jumatano (Machi 22) wataingia dimbani kupapatuana katika mchezo wa ligi kuu ya wanawake Tanzania. Katika mchezo huo Yanga Princess watakua…

Kamati ya kuchakata data za hali ya hewa duniani yakutana Tanzania

Tanzania imekuwa mwenyeji wa mkutano wa Kamati ya Kuchakata Data za Hali ya Hewa Duniani, lengo ikiwa ni kuhakikisha data za hali ya hewa zinatumika ipasavyo na taasisi za hali ya hewa katika nchi wanachama wa Shirika la Hali ya…

Mchungaji afunga kanisa baada ya kushinda Mil.100 za betting

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Mchungaji mmoja kutoka nchini Uganda amefunga kanisa lake baada ya kushinda sh. Milioni 100 kwenye mchezo wa bahati nasibu (betting). Machi 16, mwaka huu, mtandao mmoja Uganda ulichapisha taarifa za mchungaji huyo akieleza kuwa ameamua…

Rais wa Kenya asema hakuna mtu aliye juu ya sheria

Rais William Ruto amesema kwamba hatakubali “kutoijali nchi” baada ya maandamano ya ghasia kukumba mji mkuu, Nairobi na mji wa magharibi wa Kisumu. Maandamano hayo yaliandaliwa na mwanasiasa wa upinzani Raila Odinga ambaye analaumu sera za serikali kwa kuzidisha kupanda…