JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Majaliwa:Halmashauri tekelezeni miradi kwa fedha za ndani

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya Serikali ya Awamu ya Sita imetekeleza miradi mingi ya huduma za jamii kila eneo hivyo watendaji wa halmashauri zote nchini wanatakiwa waendelee kubuni miradi mikubwa na kuitekeleza kwa kutumia…

Wakulima Ruvuma waingiza bilioni 644/-kwa kahawa na korosho

Wakulima mkoani  Ruvuma waingiza zaidi ya shilingi bilioni 644 baada  kuuza mazao ya kahawa na korosho kwenye  misimu mitano mfululizo. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Mkoa wa Ruvuma kwa vipindi vya misimu ya kilimo mitano mfululizo…

#Live: Rais Samia ashuhudia utiaji sani mradi wa gridi ya taifa

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani anatarajia kushuhudia utiaji saini wa mikataba ya umeme gridi ya taifa Ikulu ya Magogoni jijini Dar es Salaam leo Februari 14, 2023. Unaweza kutufuatilia mubashara kupita Youtube Chennel ya Ikulu Mawsiliano hapa chini, endelea kuwa…

Yafahamu mataifa saba yasiyoadhimisha siku ya ‘Valentine’

Kwa Mataifa ya Magharibi kila ifikapo Februari 14 wapendanao huitumia siku hii kutumiana jumbe zawadi na maua kuonyeshana hisia na namna kila mmoja anavyompenda mwenziye. Katika siku hii ambayo chimbuko lake ni huko Roma ikihusishwa na askofu wa Kanisa Katoliki…

Serikali yapiga marufuku vitabu visivyo na maadili kutumika shuleni

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vinavyokwenda kinyume na maadili kwenye Shule na Taasisi zote za Elimu. Vitabu hivyo vimepigwa marufuku na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda kwa mamlaka aliyopewa…

Hii ndiyo siri iliyoko nyuma ya sikukuu ya wapendanao

Kila ifikapo Februari 14 watu wengi huadhimisha sikukuu ya wapendanao ulimwenguni, na utaratibu huu umedumu kwa karne nyingi ukihusishwa na utamaduni wa magharibi. Watu huadhimisha siku hii kwa namna tofautitofauti ikiwa ni pamoja na kupeana zawadi kama vile maua mekundu,chokoleti…