Author: Jamhuri
TAKUKURU yawafikisha mahakamani waliojenga kibanda hiki kwa mil.11/-
Na Benny Kingson,JamhuriMedia,Tabora Watumishi wanne wa Chuo Cha Mafunzo Stadi (VETA), mkoani Tabora wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),kufuatia kufuja fedha sh.mil.750 za ujenzi wa chuo wilayani Uyui ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri…
Ajali yaua watoto wawili wa familia moja Mbeya
Na Manka Damia,JamhuriMedia,Mbeya Watu wawili wamefariki dunia mkoani Mbeya na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali baada basi dogo kufeli breki katika mteremko mkali wa Mbalizi na kugonga magari mengine matatu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 9,2022, Kamanda wa…
Zao la korosho lawaingizia wakulima Ruvuma bil.291/-
Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Takwimu za uzalishaji wa zao la korosho mkoani Ruvuma zinaonesha kuwa katika kipindi cha miaka mitano mfululizo zao hilo limewaingizia wakulima shilingi bilioni 291.9. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas wakati anafungua…
TEF yaishauri Serikali kuwekeza katika mafunzo na vifaa vya uokoaji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),limepokea kwa masikitiko vifo vya watu 19 waliokufa katika ajali ya ndege ya shirika la Ndege la Precision siku ya Jumapili Novemba 6, 2022. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari…