Author: Jamhuri
“Watu bilioni 3.6 hatarini kuathiriwa na mabadiliko ya tabianchi duniani’
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amesema Tanzania imejiandaa kikamilifu kushiriki Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika Sharm El Sheikh nchini Misri kuanzia tarehe 31…
Majaliwa atoa agizo kwa Wizara ya Maji, DAWASA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maji kwa kushirikiana na sekta binafsi ihakikishe inakamilisha taratibu za utekelezaji wa mradi wa kutoa maji Mto Rufiji utakaosambaza maji katika maeneo ya mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Pia,Majaliwa ameielekeza Mamlaka…
Chongolo:Tanzania na Cuba zina urafiki wa kihistoria
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema kuwa, kupitia dhamana ya kuongoza Serikali na nchi, kitahakikisha urafiki wa muda mrefu kati ya CCM na Chama cha Kikomunisti cha Cuba (CPC) na uhusiano wa Tanzania…
Makamba:Serikali imendaa mjadala wa nishati safi ya kupikia
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Serikali imesema imeandaa mjadala wa Nishati Safi ya Kupikia ili kuwepo na Sera, Sheria, Kanuni na Mifumo ya Udhibiti wa Nishati Chafu ya kupikia ikiwemo mkaa na kuni na kutumia nishati safi,salama na endelevu ili kusaidia uhifadhi…
Mali za viongozi wa umma kuanza kuhakikiwa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kuanza uhakiki wa rasilimali, maslahi na madeni kwa viongozi wa umma 658 watahakikiwa. Hayo yamesewa leo Novemba 2,2022 jijini Dodoma na Kamishna wa Maadili, Jaji wa…