JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Zaidi ya Watanzania 142 wanufaika na ajira

Zaidi ya Watanzania 142 wamenufaika na ajira kupitia Meridianbet Tanzania,ikiwa ni moja ya ndoto ya kampuni hiyo inayotoa huduma za michezo ya kubashiri mtandaoni. Akizungumza katika uzinduzi wa duka la Meridianbet lililopo Mtaa wa Tandika Majaribio, Temeke, Dar es Salaam,…

Kajula ndiye Mtendaji Mkuu mpya Simba SC

Klabu ya Simba imemtambulisha Imani Kajula kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa klabu hiyo kwa mkataba wa miezi sita, akichukua nafasi ya Barbara Gonzalez aliyejiondoa. Meneja wa Habari wa Simba,Ahmed Ally,amesema kuwa mkataba huo unaweza kurefushwa endapo bodi itaridhishwa na…

Jumaa:Twendeni kwenye majukwaa tukaeleze yanayofanywa na Serikali

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Mjumbe wa Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi Taifa (MNEC)-Wazazi ,Hamoud Jumaa amewaasa wanaCCM kujipanga kwenda majukwaani kusema makubwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya sita sanjali na utekelezaji wa ilani. Ameeleza ,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fursa…

Polisi wazungumzia taarifa za ugaidi kwenye mitandao

Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa hali ya ulinzi na usalama wa nchi ni shwari kwani matukio makubwa yanayoweza kuleta hofu kwa wananchi yanaendelea kudhibitiwa, Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari leo Januari 26, 2023 na msemaji…

Kilo 399 za dawa za kulevya zakamatwa

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata jumla ya kilo 399.28 za dawa za kulevya aina ya bangi katika Kitongoji cha Sokoni, Kiji cha Chogoali, Kata ya lyogwe, tarafa ya Gairo, wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro. Kwa…