JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Makaa ya mawe yaongeza mapato Bandari ya Mtwara

Kaimu Meneja wa Bandari ya Mtwara, Mhandisi Nobert Kalembwe amesema kuwa usafirishaji wa makaa ya mawe kwenda nje ya nchi kupitia bandari hiyo umeongeza mapato kwenye bandari hiyo sambamba na kuongezeka kwa kampuni za usafirishaji wa makaa ya mawe kwenda…

Waishukuru Serikali kuwapelekea huduma ya matibabu ya moyo Z’bar

Na Mwandishi Maalum – Zanzibar Wakazi wa Zanzibar wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea huduma ya upimaji na matibabu ya moyo kwa watoto na watu wazima inayotolewa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja iliyopo visiwani humo. Huduma hiyo inatolewa bila malipo katika kambi…

Bunge: Serikali itafutie ufumbuzi changamoto ya kelele

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imetoa wito kwa Serikali kutafutia ufumbuzi changamoto ya kelele ambayo imekuwa kero kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndogo Kilumbe Ng’enda wakati wa kikao…

Kamati ya kutathmini hali ya vyombo vya habari yaundwa

……………………………………………………………………………………… Serikali imeunda kamati yenye wajumbe nane ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media Tido Mhando kwa ajili ya kutathimini hali ya vyombo vya habari . Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 24,2023 na waandishi wa habari,Waziri wa Habari,Mawasiliano…

Serikali kuzifungia laini milioni 2 za simu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imetangaza kuzifunga laini za simu zaidi ya milioni mbili ambazo hazijahakikiwa licha ya Serikali kuhimiza wananchi kuhakiki laini zao. Hayo yamebainishwa leo Januari 24,2023 na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye wakati…

Serikali kufuatilia utekelezaji wa gawio SMZ

Ofisi ya Makamu wa Rais imepanga kufanya ufuatiliaji wa gawio kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) pamoja utekelezaji wa Taasisi za Muungano katika kipindi cha Januari 2023 hadi Juni 2023. Pia amesema Ofisi imepanga kutoa semina kuhusu usimamizi wa fedha…