JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Uwekezaji wa Serikali kwenye TEHAMA kufanikisha tiba mtandao

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza katika Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA) nchini kwa lengo la kutatua changamoto ya mawasiliano ikiwa ni pamoja na kuvutia uwekezaji na kurahisisha utoaji huduma kwa wananchi….

Uzalishaji umeme na gesi asilia waongezeka

Imeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa umeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na megawati 1,694.55 zilizokuwepo hadi kufikia mwezi Septemba 2022. Aidha,katika kipindi…

Chaurembo: Rushwa ni kikwazo cha maendeleo

Na Veronica Mwafisi,Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa,Abdallah Chaurembo ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoa mafunzo kwa watendaji wa kata kuhusu utekelezaji wa Programu ya TAKUKURU RAFIKI ili…

Lutumo afunga mafunzo ya utayari awamu ya tatu kwa askari

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,Kamishna msaidizi Pius Lutumo ,amefunga mafunzo ya utayari awamu ya tatu kwa askari wa mkoa na wilaya huku akiwaasa kubadilika kwenye utendaji wa kazi zao kupitia mafunzo waliyopatiwa. Mafunzo hayo yalifanyika kwenye…

Shaka akabidhi ofisi rasmi kwa Mjema

Picha mbalimbali zikionesha matukio mbalimbali ya makabidhiano ya ofisi baina ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Sophia Edward Mjema na aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Januari 21, 2023 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya…