Author: Jamhuri
Binadamu mkongwe zaidi afariki dunia
Binadamu mzee zaidi aliyekuwa anashikilia rekodi ya Guinness amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 118. Sista André aliyezaliwa Februari 11, 1904 na kupewa jina la Lucile Randon amekutwa amefariki katika makazi yake yaliyoko mjini Taulon Ufaransa, Reuters imeripoti Msemaji…
Mawaziri wauawa katika ajali ya helikopta Ukraine
Watu 18 wameuawa akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ukraine katika ajali ya helikopta iliyotokea nje ya Mji Mkuu wa Kyiv leo. Taarifa ya Mkuu wa Polisi Ukraine, Ihor Klymenko imesema kati ya watu hao waliopoteza maisha wawili ni…
Tisa mbaroni kwa tuhuma za kuiba vifaa vya SGR
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashilikia watu 9 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwa ni pamoja na vifaa vya ujenzi katika mradi wa kisasa wa SGR pamoja na ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi maarufu kama daraja la JPM….
Mbarali wampongeza Rais Samia kumaliza mgogoro wa ardhi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wameipongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 15 na hivyo kuwawezesha kuendelea kufanya shughuli zao…
Spika:Tuko tayari kubadili sheria zenye changamoto za kijinsia
Na Magreth Kinabo –Mahakama Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kwamba Bunge liko tayari kubadili sheria zinazoleta changamoto katika mashauri yanayohusu ukatili wa kijinsia hususan kwa wanawake ,watoto na watu wenyeulemavu. Akizungumza…
Nyasa,Mbinga wafanya msako kuwabaini wasiopelekwa shule
Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Ruvuma Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya ya Nyasa na Mbinga zilizopo mkoani Ruvuma wamekemea baadhi ya wazazi wenye watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu ambao hawajawapeleka shule kwa visingizio mbalimbali visivyokuwa na msingi wawapeleke shule…