Author: Jamhuri
Makamu wa Rais azungumza na Watanzania waishio Marekani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya watanzania waishio Jijini New York nchini Marekani, Mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Ubalozi wa Tanzania Jijini New York. Akizungumza na Watanzania…
BASATA: Hatupo kwa ajili ya kufungia kazi ya msanii
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),limewakumbusha wasanii kuwa hawana lengo la kufungia kazi ya msanii bali wapo Kwa ajili ya kuzungumza na kurekebisha kazi ili kuikuza tasnia ya Sanaa kwa mapana. Akizungumza kauli hiyo Katibu Mtendaji wa…
Kewanja FC yaibuka kidedea Kombe la Mahusiano Barrick North Mara
Timu ya Kewanja FC imetwaa ubingwa wa Mashindano ya Soka ya Kombe la Mahusiano “Mahusiano Cup” baada ya kuichapa Murito FC bao 1-0 katika mchezo wa fainali. Fainali hiyo ilichezwa kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Ingwe mjini Nyamongo…
‘Panya road’ 135 wakamatwa,runinga 23 zikiwemo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC),Amos Makala amesema kuwa katika operesheni imewakamata wahalifu 135 pamoja na vitu mbalimbali vya wizi ikiwemo runinga 23. Akizungumza leo Septemba 19, 2022 jijini Dar es Salaam, amesema kuwa watuhumiwa hao wamekamatwa katika…