Author: Jamhuri
Waziri Mkuu asisitiza uadilifu ujenzi wa mji wa Serikali
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali wahakikishe wanazingatia uadilifu katika matumizi ya fedha ili uweze kukamilika kwa wakati na kwa viwango vilivyokusudiwa. Pia,Majaliwa amewaagiza Makatibu…
BRELA yashauriwa kusaidia wafanyabiashara mkoani Mara
Na Mwandishu Wetu,JamhuriMedia, Mara Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), Bw. Paul Koy ameishauri Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kusaidia wafanyabiashara wa mkoa wa Mara ili warasimishe biashara zao. Kauli hiyo ameitoa jana alipotembelea…
Wizara ya Maji kutekeleza mradi wa bil.134/- Tarime na Rorya
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wizara ya Maji imeingia mkataba wenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 134 na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Maji katika miji ya Rorya na Tarime, mkoani Mara….
Barrick North Mara yaandaa ligi ya soka ya ‘Mahusiano Cup’ Tarime
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mara MgodiI wa dhahabu wa Barrick North Mara, kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, umeandaa mashindano ya soka ya kuwania kombe la ‘Mahusiano Cup’ yanayojumuisha vijiji 16 vinavyozunguka mgodi huo ambayo yalizinduliwa rasmi jana katika viwanja…
Ruto ndiye Rais mteule Kenya,Mahakama yatupilia mbali pingamizi la Odinga
Mahakama ya Juu imeona kwamba walalamishi hawakutoa ushahidi wa kutosha kubatilisha matokeo kwa msingi kwamba kiwango cha kikatiba cha asilimia 50 + 1 cha ushindi wa moja kwa moja hakikufikiwa. Mahakama ya Juu imegundua kwamba walalamishi hawakuwasilisha kesi yenye uzito…