Mwakilishi wa Mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile alisoma hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,,Kazi,Vijana,ajira na watu wenye ulemavu Profesa Joyce Ndalichako katika maadhimisho ya kimataifa ya siku ya uelwa kuhusu ualbino kitaifa yamefanyika mkoani Ruvuma
Baadhi ya watu wenye ualbino wakiwa katika uwanja wa Majimaji mjini Songea katika maadhimisho ya kimataifa ya siku ya uelewa kuhusu ualbino ambapo wawakilishi kutoka mikoa yote nchini wameshiriki kwenye maadhimisho hayo ambayo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,,Kazi,Vijana,ajira na watu wenye ulemavu Profesa Joyce Ndalichako
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye ulemavu Nchini Erenest Kimaila ambaye pia ni Diwani wa Kata ya  Chumbageni mkoani Tanga

By Jamhuri