JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mahakama yatupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili Kigogo wa PSSSF

Na mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA Mahakama ya Wilaya ya Ilala imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi Umma (PSSSF) Rajabu Kinande na Wenzake wanne,waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa tofauti ikiwemo kuvunja duka la Mohamed Soli…

Majaliwa:Uwepo wa reli ya SGR ni fursa kwenu wana-Malampaka

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu watumie uwepo wa reli ya kimataifa (SGR) kama ni fursa ya kujijenga kiuchumi. Ametoa wito huo jana jioni wakati akizungumza na mamia ya wananchi na viongozi katika mkutano…

Serikali yasema Programu atamizi ya CBE suluhisho tatizo la ajira

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imewahamasisha vijana kujiunga na program atamizi inayotolewa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili wapate ujuzi wa biashara na hatimaye kuwa wafanyabiashara wazuri wanapomaliza elimu ya vyuo. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam…

Mwakinyo aahidi ushindi dhidi ya Katembo

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Bondia kutoka Jijini Tanga, Tanzania, Hassan Mwakinyo anaendelea na maandalizi ya pambano lake dhidi ya raia kutoka DR Congo, Kuvesa Katembo mnamo April 23 mwaka huu katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Mwakinyo amesema baada ya kukaa…

Baleke apewa programu maalumu

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Othos Baleke ameandaliwa Program maalum itakayomuongezea kasi ya kufunga mabao akiwa na Kikosi cha Simba SC, kinachojiandaa na mchezo wa Mzunguuko wasita wa Kundi C, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Programu hiyo…