Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Machifu mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu  akiwasalimia viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika viwanja vya Red Cross, Ngomeni Kisesa  kwa ajili ya kushiriki Tamasha la Bulabo, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akimsikiliza Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Renatus Nkwande kuhusu Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akimsikiliza Ndugu Richard Raphael Bulluma Mhifadhi wa Makumbusho ya Wasukuma Bujora kuhusu majengo mbalimbali yaliyopo kwenye Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023. Kushoto ni Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Renatus Nkwande