Author: Jamhuri
Raila Odinga kuwasilisha kesi ya kupinga uchaguzi wa Ruto leo
JE, Mahakama ya Juu zaidi itaweka historia nyingine inapojitayarisha kusikiliza na kuamua ombi la urais la Kiongozi wa Azimio Raila Odinga? Hilo ndilo swali kuu ambalo wengi wanatafakari huku Mahakama Kuu nchini ikijiandaa kusikiliza hoja kutoka kwa kundi la mawakili…
Waziri akagua mradi wa kitalu cha miche ya mil.43/-
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja (Mb) amekagua mradi wa kitalu cha miche ya miti wenye thamani ya shilingi milioni 43 unaosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Akizungumza leo katika…
Viongozi Kata ya Mchikichini watoa elimu ya Sensa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mussa Azan Zungu ambaye pia ni mbunge wa Ilala amewaasa Watanzania kushiriki kikamilifu Sensa ili kutimiza lengo la Serikali kupata takwimu za msingi za watu na hali za makazi ambazo…
Mrema alikuwa ni mwanasiasa aliyepitia machungu mengi
Na Happiness Katabazi,JamhuriMedia LEO asubuhi Agosti 2, 20221 nimepokea taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour ( TLP), Augustine Lyatonga Mrema kuwa amefariki katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa tangu Agosti 16, mwaka huu kwa…
Jafo ahimiza wananchi kushiriki Sensa Agosti 23
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Pwani Mjumbe wa Kamati ya Sensa kitaifa na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo amewataka wananchi kutowabughudhi makarani wa sensa na badala yake kuwapa ushirikiano wafanikishe shughuli hiyo Aidha Jafo amesema kamati…