Rais Samia ahutubia katika Mkutano wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) pamoja na Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA), Zanzibar

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia katika Mkutano wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) pamoja na Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA), Zanzibar
 
Shamrashamra za Makatibu Mahsusi pamoja na Watunza Kumbukumbu na Nyaraka wakati wa kilele cha Mkutano wao wa Kitaaluma wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) pamoja na Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) uliofanyika Fumba Zanzibar tarehe 27 Mei, 2023.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye viwanja vya Fumba kwa ajili ya kushiriki Kikao maalum cha Makatibu Mahsusi pamoja na Watunza Kumbukumbu na Nyaraka kabla ya kufunga Mkutano wa Kitaaluma wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) pamoja na Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) uliofanyika katika Viwanja vya Fumba Zanzibar tarehe 27 Mei, 2023.