Author: Jamhuri
Wanaotupa taka hovyo sasa kuanza kuzomewa Dar
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema licha ya uwepo wa sheria na kanuni za kuwadhibiti wachafuzi wa mazingira hususani wanaotupa taka hovyo ni vyema pia ikaenda sambamba na kuwazomea kama sehemu ya kuwafanya…
Wizara yaanzisha kitengo maalumu cha kuokoa maisha waliopata ya ajali
Na Englibert Kayombo,JamhuriMedia,Dodoma Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi kitakachoshughulika na kuokoa maisha ya watu kutokana na ajali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu…
EWURA yazishauri Mamlaka za Maji kutoa taarifa sahihi za huduma
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA), Mhandisi Modestus Lumato, amezitaka Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini kuhakikisha zinatoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa…
Sheria kandamizi ni mwiba kwa wanahabari
Na Stella Aron,JamhuriMedia Serikali ipo tayari kupeleka mabadiliko ya sheri ya habari bungeni baada ya kikao cha mwisho kukubaliana baadhi ya mapendekezo hayo. Hiyo ni kauli ya Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye wakati akizungumza na uongozi…
TCRA yawafungulia milango vijana wabunifu katika TEHAMA
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),kwa kushirikiana na taasisi zingine imeboresha mazingira rafiki kwa vijana wabunifu wa TEHAMA ili kuwarahisishia kutengeneza fursa za kukuza ubunifu na kujitengenezea ajira. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt.Jabir Bakari amesema Serikali imeweka mfumo…