JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Majaliwa: Vishikwambia vitumike katika kuboresha elimu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Ijumaa Novemba 4, 2022 amezindua ugawaji wa vishikwambi katika sekta ya elimu na amesisitiza kwamba vifaa hivyo vitumike katika kuboresha mchakato wa utoaji elimu ili kuinua ubora wa elimu nchini na si vinginevyo. Akizindua ugawaji…

‘Wauguzi tumie lugha nzuri katika kuwahudumia wagonjwa’

Wauguzi na wakunga waaswa kuwa na lugha nzuri na ubunifu wa hali ya juu katika kuwahudumia wagonjwa Hospitalini. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Ziada Sellah katika kikao na wawakilishi wa wauguzi na wakunga kutoka katika…

Taasisi za umma,binafsi zapewa siku 30 kulipa pango

Kutokana na kukithiri kwa madeni ya muda mrefu katika sekta ya Ardhi Serikali imezitaka Taasisi za umma na binafsi nchini kutekeleza wajibu wao wa kulipa kodi ya pango la ardhi ndani ya mwezi mmoja kwani jambo hilo limekuwa ni changamoto…

Mgodi wa Stamigold watakiwa kuwasilisha mkakati wa ufungaji wao

Wataalam wa Wizara ya Madini wamefanya ziara katika Mgodi wa dhahabu wa STAMIGOLD uliopo wilayani Biharamulo kwa ajili ya kuangalia mpango wa ufungaji wa mgodi huo. Ziara hiyo imeongozwa na Kamishna Msaidizi anayeshughulikia Mazingira Mhandisi Gilay Shamika. Mgodi wa STAMIGOLD…

TANZIA: Mkurugenzi Utawala na Rasilimali Watu Gerald Mwanilwa afariki

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, anasikitika kutangaza kifo cha Gerald Mwanilwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, kilichotokea tarehe 2 Novemba, 2022 nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Ilazo,…