Author: Jamhuri
Kortini kwa tuhuma za kumrubuni na kumbaka mtoto Serengeti
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Serengeti Mkazi wa Kijiji cha Nyankomogo Kata ya Rigicha, John Warioba Riana (33), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka (13). Mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Serengeti Jakobo…
Benki Kuu yatakiwa kuhamasisha wananchi kuwekeza
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya NAIBU Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Yamungu Kayandabila, ameitaka BoT kuongeza uhamasishaji kwa wananchi wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, pamoja na shughuli zingine za kilimo, kuwekeza katika dhamana za serikali. Dkt. Kayandabila…
NFRA yakabidhi maghala ya kisasa ya kuhifadhia mazao
Mradi wa kuongeza uwezo wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kufikia uhifadhi wa mahndi kutoka tani 251 mpaka tani laki 501 miradi mitatu ya maghala ya kisasa ya kuhifadhia mazao imekamilika na imekabidhiwa kwa NFRA tayari…
Tanzania,Namibia zaweka mikakati ya kukuza sekta ya biashara
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Lebbius Tangeni Tobias,amefanya ziara rasmi ya kikazi katika Chemba ya Biashra, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Chemba hiyo, Paul Koyi katika ofisi za Makao Makuu…
Tanzania, Zambia kushirikiana katika kukuza kibiashara
Tanzania na Zambia zimekubaliana kuendelea kushirikiana katika kuibua fursa za biashara na kutatua mara moja changamoto zilizopo na zitakazojitokeza katika uwekezaji na biashara ili kukuza biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili. Hayo yamesemwa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda…
Sagini aagiza kufuatilia mienendo utendaji kazi wa askari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,MoHA Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameviagiza Vyuo vya Polisi nchini kuupitia mtaala wa mafunzo ili kujua kwa kiwango gani unajaribu kugusa changamoto mbalimbali zinazoonekana katika utekelezaji wa kazi za Maafisa na Askari…