Author: Jamhuri
Majaliwa: Fuateni na simamieni falsafa ya Rais Samia
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka washiriki wa kozi fupi ya 13 ya viongozi watambue, wafuate na waisimamie falsafa ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan iliyojielekeza katika kuwahudumia watanzania. Mheshimiwa Majaliwa amesema lengo kuu…
Kibaha kutoa elimu ya Sensa nyumba za ibada
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kibaha MKUU wa Wilaya ya Kibaha,Sara Msafiri, ameeleza wanatarajia kufanya matamasha na kutoa elimu ya umuhimu wa Zoezi la Sensa kupitia nyumba za ibada ili kuongeza wigo wa elimu ya sensa ndani ya jamii. Vilevile, ameiasa jamii yenye…
Halmashauri zavunja rekodi ya miaka 10
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhesshimiwa Innocent Bashungwa amesema kuwa, katika kipindi cha mwezi Julai hadi Juni 2022 halmashauri nchini zimekusanya Shilingi Bilioni 888.7 ambayo ni asilimia 103…
Mpwapwa watakiwa kusimamia miradi
Na Mwandishi Wewtu,JamhuriMedia Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira, Dkt.Switbert Mkama, ametoa rai kwa wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa kusimamia kikamilifu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao. Ametoa rai hiyo leo Agosti 2,2022, akiwa katika ziara…
Ndalichako aelekeza ukaguzi maalum matumizi ya fedha za Uviko-19
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako, ameelekeza kufanyika kwa ukaguzi Maalum juu ya matumizi ya kiasi cha fedha shilingi milioni 694. Fedha zimetumika kwa ajili ya mradi wa ukarabati wa…