JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waliofutwa kazi kwa vyeti feki kurudishiwa NSSF zao

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Rais Samia ameridhia Watumishi walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti kurejeshewa michango yao waliyochangiwa katika Mifuko ya Hifadhi ambayo kwa PSSSF ni asilimia tano na Kwa NSSF ni asilimia kumi ya mshahara. Hayo yamesemwa na Waziri wa Kazi,…

Meja jenerali Simuli aimwagia sifa sekondari ya Ruhuwiko Songea

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea MKUU wa Utumishi (CP) wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Meja Jenerali Paul Simuli amewapongeza walimu wa Shule ya Sekondari ya Ruhuwiko pamoja na bodi ya shule hiyo kwa kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa sayansi kwa miaka…

Pinda ataka Muungano wa Tanzania ulindwe

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amesema kuwa changamoto zinazokumba Muungano wa Tanzania zinatakiwa kuondolewa ili kulinda Maono ya Waasisi wa Muungano huo ambao hawakutaka kuwepo kwa ubaguzi katika wa Watangangika na Wazanzibar. Waziri Mkuu Mstaafu Pinda amesema…

Simbachawene: Nchi za Maziwa Makuu zione haja yakuwa na uchaguzi huru nawa haki

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia,Dar Waziri wa nchi ofisi Waziri Mkuu,Sera, Bunge na Uratibu George Simbachawene amesema kwamba nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu zinapaswa kuona kuna haja ya kuwa na uchaguzi huru na wahaki unaozingatia usawa kwa wote. Waziri Simbachawene alisema…

“Kumdhalilisha mtu mtandaoni faini yake milioni tano’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar Watanzania wameshauriwa kuacha tabia ya kuchapisha picha na video za faragha mtandaoni kwa kuwa ni kinyume na maadili ya kitanzania lakini pia mhusika anaweza kupata madhara ya kisaikolojia kutokana na udhalilishaji anaoweza kuupata mtandaoni. Mkurugenzi Msaidizi wa…

TBS yamwaga mafuta ya kupikia Tanga

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kaskazini limekamata na kuteketeza bidhaa za juisi na mafuta ya kupikia zilizokwishwa muda wake wa matumizi ( expired products) zenye thamani ya shilingi milioni moja na laki tano za Kitanzania (1.5 milioni). Bidhaa…