Author: Jamhuri
Wiki ya AZAKI kujadili maendeleo ya watu na taifa kwa ujumla
Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society (CFC) Francis Kiwanga (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu Wiki ya AZAKI inayotarajiwa kuanza rasmi Oktoba 24 hadi 28, 2022 Jijini Arusha. (kushoto) ni, Mkurugenzi Mkazi wa shirika la Norwegian…
Wawekezaji Poland wanahitaji kuwekeza maeneo haya
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Poland waje nchini kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo ya uchumi wa bluu na madini. Waziri Tax ameyasema hayo,wakati akihutubia mkutano uliowakutanisha wawakilishi…
Walimu wafikishwa kortini kwa kuvujisha mtihani wa Taifa
Walimu saba na wafanyabiashara wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu likiwemo la kuvujisha mtihani wa Taifa wa darasa la saba mwaka 2022. Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo leo Oktoba 19,2022 na wakili wa…
RC Nyerere:Wasioona kupewa huduma stahiki kama wengine
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere amesema serikali itaendelea kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kuwapatia huduma zote zinazohitajika kama wengine. Amezungumza hayo katika kongamano la watu wasioona linalofanyika katika ukumbi wa chuo kikuu huria mjini Babati leo…
Majaliwa:Timizeni matarajio ya Rais Samia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma watimize wajibu wao kama ambavyo Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia wafanye pindi anapowateua ama kuwapa ajira. “Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anataka kuona watumishi wa umma mkiwatumikia Watanzania. Nenda kwa wananchi mkawasikilize….