Author: Jamhuri
Toka Qatar mpaka Lindi
Jana ilikuwa ni siku ya kusisimua kwa Bara la Afrika na hususani kwa wananchi wa Morocco baada ya timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia kwa kuifurusha Hispania kwa njia ya penati. Morocco iliandikisha rekodi nyingi…
Geita Gold yazigonganisha klabu za ligi kuu kwa straika huyu
Ndoa ya Geita Gold na straika kinara wa mabao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliopita msimu uliopita, George Mpole, imefikia tamati hii leo baada ya pande hizo mbili kukubaliana kuvunja mkataba kwa maslahi ya kila upande. Taarifa ya…
Tanzania na Comoro kuimarisha ushirikiano zaidi sekta ya afya
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Comoro nchini Tanzania Dkt. Ahamada El Badaoui kujadili namna ambavyo nchini hizo zinaweza kushirikiana katika maendeleo ya Sekta ya Afya. Katika mazungumzo yao…
Moroco yaitoa kimasomaso Afrika
Morocco imekua timu pekee kutoka bara la Afrika kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuwatoa Spain kwa mikwaju ya Penati 3-0. Spain ni kama hawakujiandaa kufika katika hatua ya penati kwani penati zao zote walizopiga…
Ndumbaro:Vita ya rushwa bado ni kubwa
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewaonya Watumishi wa umma wanaoendekeza Vitendo vya Rushwa katika utekelezaji wa majukumu yao hususani katika kuwahudumia wananchi. Onyo hilo amelitoa leo wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu…
Watembea Km 12 kufuata huduma ya maji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wakazi wa kijiji cha Makuka Halmashauri ya Wilaya Iringa mkoani Iringa,wanalazimika kutembea zaidi ya km 12 hadi kijiji cha Izazi kufuata huduma ya maji kwa ajili ya matumizi yao ya kila siku. Wameiomba Serikali kupitia wakala wa…





