JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri ashuhudia kazi ya kuzoa tope ikianza, atembelea majeruhi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo (Jumanne, Desemba 5, 2023) ameshuhudia kazi ya kusomba matope kwenye mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, ikianza kwenye barabara kuu ya kutoka Babati hadi Singida. Akizungumza na mamia ya wakazi wa mji huo,…

Hospitali Tumbi ina uhitaji wa damu lita 200, tukachangie kuokoa maisha ya wenye uhitaji -Gemela

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani KITENGO cha damu salama Tumbi, hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani, inatumia chupa 15 kwa siku sawa na chupa 450 za damu kwa mwezi ,hivyo uhitaji wa lita 200 ili kukidhi mahitaji. Kuelekea siku…

Kipindupindu chauwa wanne Buchurago Kagera

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Watu wanne wamefariki kutokana na ugonjwa wa kipindupindu katika kijiji cha Buchurago kata ya Bugorora wilayani Missenyi mkoani Kagera huku wengine wanne wakilazwa katika Hosptali ya St.Tereza. Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatma Mwassa amesema serikali inaendelea na…

CCM ‘yawashika mkono’ waathirika mafuriko Hanang

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Anamringi Macha, kimekabidhi msaada wa vitu vyenye thamani ya Tsh. 10 milioni, ‘kuwashika mkono’ waathirika wa maafa yaliyosababishwa na mafuriko ya maji na…