Author: Jamhuri
Serikali yabaini chanzo cha ugonjwa usiojulikana Lindi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Ruangwa Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua ugonjwa usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa katika Mkoa wa Lindi umethibitisha mlipuko huu kuwa wa ugonjwa wa Leptospirosis, Field Fever kwa lugha…
Makamba:Mradi wa Rusumo kuongeza uhakika wa umeme
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Imeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kumekuwa na changamoto ya kuwepo kwa umeme pungufu na usio wa uhakika na…
Mapya yaibuka Mkuu wa Gereza
*Ni yule anayetuhumiwa kwa mauaji ya mfungwa Liwale *Adaiwa kupelekewa kitanda cha futi tano kwa sita alalie gerezani *Askari magereza walalamika kulazimishwa kumpigia saluti wakati ni mahabusu Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale,…
Ukwepaji kodi uwindaji wa kitalii
*Malipo yafanywa kwenye benki za ughaibuni *Akaunti kadhaa zabainika kufunguliwa Mauritius *Tanzania yaambulia ‘kiduchu’, nyingi zaishia huko *TRA, Wizara Maliasili hawana taarifa za wizi huo DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Baadhi ya kampuni za uwindaji wa kitalii zinatuhumiwa kukwepa…
Kamishna lawamani kutaka kumega ardhi
MOROGORO Na Aziza Nangwa Taasisi ya Tretem Network of Schools Limited imemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, kuingilia kati kitendo cha Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Morogoro, Frank Minzikuntwe, kutaka kumega eneo lao kisha…
Ngorongoro na Loliondo: Kuna uchochezi na ya kujifunza
DAR ES SALAAM NA THEONESTINA KAIZA-BOSHE Katika mpango wa kuwahamisha wafugaji na mifugo yao kwa hiari kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCA) kwenda Kijiji cha wafugaji Msomera, Handeni mkoani Tanga, serikali imefanya tukio kubwa la kipekee na la kihistoria. …