JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wananchi wamiminika banda la RITA kupata huduma

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kibaha Wakazi wa Mkoa wa Pwani wamekuwa na mwitikio mkubwa wa kutembelea banda la Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali zikiwamo a vyeti vya kuzaliwa. Akizungumza na gazeti hili katika maonyesho…

Morocco yahalalisha ulimaji bangi

Serikali ya Morocco imetoa vibali 10 kwa wakulima kulima bangi kihalali kwa ajili ya viwanda na kuuza nje kwa mara ya kwanza. Wakulima katika maeneo ya kaskazini ya al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate wataruhusiwa kuzalisha na kuuza bangi kwa matumizi ya…

Mbaroni kwa kuiba mtoto mchanga wa miezi miwili

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Yusta Mwanyonga (27) Mkazi wa Kijiji cha Senjele, wilayani Mbozi kwa kosa la wizi wa mtoto mchanga wa miezi miwili. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Kamanda wa…

Tembo Warriors yaendelea kuishangaza dunia

Na John Mapepele,JamhuriMedia Kikosi cha Tembo Warriors kimeendelea kuishangaza dunia kwa kuibamiza vibaya timu kali ya Japan katika mashindano ya Kombe la Dunia kwa Watu wenye ulemavu yanayoendelea nchini Uturuki. Waziri mwenye dhamana ya michezo nchini,Mohamed Mchengerwa na Katibu Mkuu…

Majaliwa:Watalii waongezeka nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema takwimu za mwaka 2021 zinaonesha kuwa watalii wanaokuja nchini Tanzania wameongezeka kwa asilimia 48.6 kutoka watalii 620,867 mwaka 2020 na kufikia watalii 922,692 mwaka 2021. Mheshimiwa Majaliwa amesema mbali na kuongezeka kwa idadi ya watalii…