JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rombo kutumia soko la kimataifa kuuza ndizi

Na Mathias Canal, JamhuriMedia,Rombo Ndizi ni zao kubwa la biashara na chakula hivyo likitumika vizuri litabadili uchumi wa wakulima na nchi kwa ujumla wake. Katika kuimarisha sekta ya Kilimo hususani zao la ndizi imeelezwa kuwa kuna umuhimu wa kutumia soko…

Bei ya mafuta ya petroli yapungua

Bei ya mafuta ya petroli na dizeli ya mwezi Oktoba imepungua ambapo kwa Mkoa wa Dar es Salaam petroli itauzwa kwa Sh.2886 huku dizeli ikiuzwa kwa Sh. 3,083 kwa bei ya rejareja Kwa mkoa wa Tanga Petrol itauzwa 2,924 na…

Mil.300/- za wasanii zilizodhulumiwa zarejeshwa akiwemo marehemu King Majuto

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Bodi ya Filamu Tanzania imeunda kamati maalum ya kuhamasisha Watanzania kurejesha utamaduni wa kuangalia filamu katika kumbi za sinema. Hayo yamebainishwa na Katibu Mtendaji wa Bodi hiyo, Dkt. Kiagho Kilonzo leo Jumanne Oktoba 4, 2022…

Amchoma moto mwanaye kwa kudokoa mboga

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mtwara Mkazi wa Kijijii cha Namanjele mkoani Mtwara,Somoe Mohamed anatuhumiwa kumchoma moto mtoto wake wa umri wa miaka mitano kwa madai ya kudokoa mboga. Kwa mujibu wa majirani (jina linahifadhiwa),amesema kuwa wakati akiendelea kufua nyumbani kwake alisikia kilio…

Wanaume wapigana na kuuana kwa kugombea mwanamke

Wanaume wawili ambao ni wakazi wa Kijiji cha Mkangaula , Kata ya Namalenga wilayani Masasi mkoani Mtwara wameuana kwa kupigana kwa kutumia magongo kwa kugombea mwanamke ambaye kila mmoja alidai ni mpenzi wake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa…